Kumbe JF Kuna wanawake?

Kumbe JF Kuna wanawake?

Sidhani kama kulikuwa na makubaliano, vinginevyo njemba asingekuja hadharani kutaka kumlipua aliyembamiza. 200K si kidogo Madame B.

Asante kaka angu kipenzi.
Dahh!!!
Ila wamenikera, kwanini asitajwe tu...
Ila hatuwezi jua makubaliano yao
 
An shida 2pu kw sisi new member....kufany connection nao Ngafu sana an wapo very limited......af pia usalama na wallet co mzur san
 
Back
Top Bottom