KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
Mkuu hapo ni msibani,na kwenye msimba lazima kila mtu aweke tofauti yake pembeni.
Too low
Issue ni jinsi mkono wake unavyopiganiwa na wapiga kura,acha upotoshaji wa makusudi kuharibu lengoCheap popularity, mambo nyeti ya mstakabali wa taifa haonekani lakini mambo ya kipuuzi kama kuhani msiba ya mwana maigizo mbakaji wa under 18 anakwenda
Cheap popularity, mambo nyeti ya mstakabali wa taifa haonekani lakini mambo ya kipuuzi kama kuhani msiba ya mwana maigizo mbakaji wa under 18 anakwenda
Ala kumbe...!, asante kwa taarifa, (as if aliwahi kuwa sio!)!.
Kwa position yake kama rais wa jamhuri wa Tanzania yeye ni selebrite ambaye anapatikana kwa nadra sana. Kwa hiyo hataka kama hukubaliani na sera zake, unaweza kutaka kukutana kupiga picha na hata kushikana mikono na selebrite huyo. Huenda hata mimi ningekuwapo msibani hapo ningependa kutumia nafasi hiyo kushikana naye mikono na hata kupiga picha naye ingawa najua kuwa ni rais bomu
nidhamu mpenzi...jamani dk cheni hazeeki.kila siku yupo hivyo hivyo
hana adabu kabisa huyu jamaa,anadhan atatatua umeme kwa kwenda msibani