Kumbe joshua Nassari....

your so foolish!!! akili yako yaajabu sana dada yangu hata kama ulikuwa unatania but inaonekana tayari unaakili za kitoto sana wewe.

Mkuu punguza ukali wa maneno!
Kuna shida gani ukayazimua walau kiasi cha mboga ?
 
kwani ana miaka mingapi?lol
.
26 yrs. NiPM nikukuwadie. Me ndo mshauri wake mkuu af'huwa hakatai ushauri wangu hata kwa dawa. Nipo nae hapa ninavyorespond hii sredi yako
 
Tena Shostito ukiwa unakuja mjengoni unitafute. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…