Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,591
kati kati ya hizo brackets za preta we zi highlight ..kuna maneno pale!!!....
" (
) " unamaanisha nini..!?
Preta unajua kuwachochea midume ya humu ndani mweh!eti leta picha!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kati kati ya hizo brackets za preta we zi highlight ..kuna maneno pale!!!....
" (
) " unamaanisha nini..!?
Hivi huyu Halima Mdee hajapata Mwanaume ambaye wanaendana au chaguwa chaguwa imezidi? i think i need her!!.....
pole sana ndenga.
Samahani mkuu hivi kwa mwanamke msomi kama Halima Mdee hajui maana ya Engagement!!??.........sidhani kama mtu yeyote aliyeelimika kama anaweza akawa Engaged kwa zaidi ya miezi 6 bila ndoa......something is wrong here.
ana baunsa wake Hasbaty..atakuua..kam engage kitambo tu!!!!!
duh huyu mchuchu hapo pembeni ya mdee ni nani?
Ahsante Husninyo..naomba jamaa aghairi ili nitie team moja kwa moja..serious mimi nimeoza hapo.
kwa jinsi ninamvomjua Lowassa si ajabu
keshafanya mpango Nassari amuoe binti yake Pamela...
Ili jimbo lilrudi kwenye familia...Siyoi anaweza kupewa kibuti faster..lol
hajaoa,
nimesikia kny hotuba yake.....
jamani eeeh am singo.....
nani hataki kupanda VX?lol
we embu shika adabu yako,soon me ndio nakuwa mke wa nassari....meza nyembe basi.....
Nipo mazoezini kukimaliza kitambi changu chenye safura...............lol
Samahani mkuu hivi kwa mwanamke msomi kama Halima Mdee hajui maana ya Engagement!!??.........sidhani kama mtu yeyote aliyeelimika kama anaweza akawa Engaged kwa zaidi ya miezi 6 bila ndoa......something is wrong here.
Kuhusu ubaunsa wake mimi haunitishi lolote, maana kila umuonapo Matola basi ujuwe ana Berreta made in Czech kiunoni.
Ukimkaribisha tu atataka Vogue...akishazoea Vogue, atataka nini sijui?
Ana miaka 27.
Hivi Anna makinda pia yuko single??
we embu shika adabu yako,soon me ndio nakuwa mke wa nassari....meza nyembe basi.....
Gold kwa gold siyo!! na siyo gold kwa makaa ya mawe..!
Nani ale ganda la muwa la juzi???
atataka bajaj au baskeli ya phonex.