kwa jinsi ninamvomjua Lowassa si ajabu
keshafanya mpango Nassari amuoe binti yake Pamela...
Ili jimbo lilrudi kwenye familia...Siyoi anaweza kupewa kibuti faster..lol
hahahahaha! Mashemeji na mawifi wa jestina 2b.
H..ametoka poa sana. I love that lady..! Basi tu jamaa ameniwahi.
kwani ana miaka mingapi?lol
Kesha mzimikia Mdee.
yeah! Bibi kiroboto yupo single!
duh huyu mchuchu hapo pembeni ya mdee ni nani?
cheki sura zenye mvuto......check mabody yao...no kitambi no safura.......
cheki sura zenye mvuto......check mabody yao...no kitambi no safura.......
duh huyu mchuchu hapo pembeni ya mdee ni nani?
Tena Shostito ukiwa unakuja mjengoni unitafute. Lol
hajaoa,
nimesikia kny hotuba yake.....
jamani eeeh am singo.....
nani hataki kupanda VX?lol
Kwani handsome wetu wa ccm bungeni humjui? Haya huyu hapa kutoka Bunda;NO....ni katika kutambua uwepo wa mahendsam bungeni.....
nani wa CCM hendsam.....
(zingatia jukwaa tafadhali)
NO....ni katika kutambua uwepo wa mahendsam bungeni.....
nani wa CCM hendsam.....
(zingatia jukwaa tafadhali)
Kwani handsome wetu wa ccm bungeni humjui? Haya huyu hapa kutoka Bunda;
View attachment 50847
your so foolish!!! akili yako yaajabu sana dada yangu hata kama ulikuwa unatania but inaonekana tayari unaakili za kitoto sana wewe.
Hivi huyu Halima Mdee hajapata Mwanaume ambaye wanaendana au chaguwa chaguwa imezidi? i think i need her!!.....
cheki sura zenye mvuto......check mabody yao...no kitambi no safura.......