Kumbe joshua Nassari....


ana baunsa wake Hasbaty..atakuua..kam engage kitambo tu!!!!!
Samahani mkuu hivi kwa mwanamke msomi kama Halima Mdee hajui maana ya Engagement!!??.........sidhani kama mtu yeyote aliyeelimika kama anaweza akawa Engaged kwa zaidi ya miezi 6 bila ndoa......something is wrong here.
Kuhusu ubaunsa wake mimi haunitishi lolote, maana kila umuonapo Matola basi ujuwe ana Berreta made in Czech kiunoni.
 
kwa jinsi ninamvomjua Lowassa si ajabu
keshafanya mpango Nassari amuoe binti yake Pamela...
Ili jimbo lilrudi kwenye familia...Siyoi anaweza kupewa kibuti faster..lol

Haaahaaa! The Boss, this is a food of thought! Marvelous way to become a laughing stock if all turn out to be in the opposite direction
 
Chonde chonde Nassari...huo ndo wakati wa kujiangalia usiokote mzoga. Hawa wapenda VX nouma!!!!
 
Ukimkaribisha tu atataka Vogue...akishazoea Vogue, atataka nini sijui?
 

siwezi kumzungumzia!!!! ajue asijue shauri yake..kwanza ni mwanasheria wa serikali mahakama kuu..so ukitaka ufafanuzi unaweza ukamtafuta pale ofisinii kwake..!!
 
we embu shika adabu yako,soon me ndio nakuwa mke wa nassari....meza nyembe basi.....

nasari kitu gani Mrembo Jestina?? njoo kwangu mimi, maarufu kwa jina la papaaa mutombo kijana mwenye mupesa mukubwa,
achana na wabunge kwanza wanaenda kufilisikia bungeni ( reffer: kauli ya Bi Kudude)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…