Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Una uwezo na moyo wa kufanya hivyo?Ndomaana unatakiwa uhakikishe mkeo au baadhi ya ndugu unawwachia pasword za accounts zako benki
Ndomaana unatakiwa uhakikishe mkeo au baadhi ya ndugu unawwachia pasword za accounts zako benki
Kafa kwakuwa aliacha nje njeNdio inaweza ikawa "SABABU KUU" ya wewe kufa.
[emoji23][emoji23][emoji23]ikawa umekata tiketi.Ndio inaweza ikawa "SABABU KUU" ya wewe kufa.
Huenda huo msiba ulikuwa feki ili kuwadaa watu vp hv balali account yake ya twitter bado iko active?
Celebrity huwa hawa manage account zao.. huwa zinaendeshwa na personal assistant.. ni wachache sana wanaoendesha account zao...Hapa nimeona account ya marehemu mume wa Zari the Boss Lady ikiwa active na neno "Account for the late under new management" basi nimejifunza mengi kama wengine.View attachment 1233586