Kumbe kabla ya kufa unaweza ukaacha password ya Instagram binafsi ili wengine waendelee ku post vitu huko

Kumbe kabla ya kufa unaweza ukaacha password ya Instagram binafsi ili wengine waendelee ku post vitu huko

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Hapa nimeona account ya marehemu mume wa Zari the Boss Lady ikiwa active na neno "Account for the late under new management" basi nimejifunza mengi kama wengine.
INST.png
 
Ndomaana unatakiwa uhakikishe mkeo au baadhi ya ndugu unamwachia pasword za accounts zako benki
 
Huenda huo msiba ulikuwa feki ili kuwaandaa watu vp hv balali account yake ya twitter bado iko active?
 
Huenda huo msiba ulikuwa feki ili kuwadaa watu vp hv balali account yake ya twitter bado iko active?

Mmh sio kweli hivi unaweza kufake kifo?

Mbona msiba wake ulikuwa Wa wazi kabisa
Kama ni kweli kafake, kwann afake?

Na ikiwa kweli kafake ikathibitishwa kafake itakuwaje?😤

Nimewaza tuu kwa Sauti!.
 
Hapa nimeona account ya marehemu mume wa Zari the Boss Lady ikiwa active na neno "Account for the late under new management" basi nimejifunza mengi kama wengine.View attachment 1233586
Celebrity huwa hawa manage account zao.. huwa zinaendeshwa na personal assistant.. ni wachache sana wanaoendesha account zao...


Unaeza kuchek ya Michael Jackson bado inawekewa posts..
 
Back
Top Bottom