J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 22, 2022 Thread starter #21 Faana said: Je hao wabunge huwa wanawasilisha mawazo waliyotumwa na wananchi kweli au huwa ni mawazo yao binafsi? Wananchi wanasema wanahitaji barabara nzuri, shule nzuri, vituo vya afya na dawa, maji salama, lakini Kamati inasema wananchi wanahitaji ndege Click to expand... Kikawaida wabunge wa bongo huzungumzia biashara zao tu!
Faana said: Je hao wabunge huwa wanawasilisha mawazo waliyotumwa na wananchi kweli au huwa ni mawazo yao binafsi? Wananchi wanasema wanahitaji barabara nzuri, shule nzuri, vituo vya afya na dawa, maji salama, lakini Kamati inasema wananchi wanahitaji ndege Click to expand... Kikawaida wabunge wa bongo huzungumzia biashara zao tu!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Feb 22, 2022 #22 johnthebaptist said: Hilo sasa ni swala la bunge siyo serikali! Click to expand... Liwe suala la yeyote yule... Kikao cha kupitisha mambo ni cha bunge na si kamati ya bunge..
johnthebaptist said: Hilo sasa ni swala la bunge siyo serikali! Click to expand... Liwe suala la yeyote yule... Kikao cha kupitisha mambo ni cha bunge na si kamati ya bunge..
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 22, 2022 Thread starter #23 Ngalikihinja said: Liwe suala la yeyote yule... Kikao cha kupitisha mambo ni cha bunge na si kamati ya bunge.. Click to expand... Endelea kukariri!
Ngalikihinja said: Liwe suala la yeyote yule... Kikao cha kupitisha mambo ni cha bunge na si kamati ya bunge.. Click to expand... Endelea kukariri!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Feb 22, 2022 #24 johnthebaptist said: Endelea kukariri! Click to expand... Usisahau bunge linaituma kamati husika....
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 22, 2022 #25 Hujakutana na ubabe wewe...