johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kikawaida wabunge wa bongo huzungumzia biashara zao tu!Je hao wabunge huwa wanawasilisha mawazo waliyotumwa na wananchi kweli au huwa ni mawazo yao binafsi? Wananchi wanasema wanahitaji barabara nzuri, shule nzuri, vituo vya afya na dawa, maji salama, lakini Kamati inasema wananchi wanahitaji ndege