Kumbe kasemaji kao ni king'ang'a!

Kumbe kasemaji kao ni king'ang'a!

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kale kajamaa kanajiita kagwiji ka kuchamba kama vile kuchamba ni tabia ya mwanaume!
Tumepata taarifa zake za ndaani kanamlilia mdada anayejulikana kama silver ikitafsiriwa kwa kiswahili cha waliokimbia darasa.

Nimeshangazwa na mtu anayejiita mwanaume analilia penzi na kujibebisha ijapo bidada anamuumbua kwa kuwa hana hisia nako.

Mwambieni wanaune huwa hawapaswi kulilia mwanamke. Kujiliza liza mbele ya mdada ni dalili ya udhaifu mkubwa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mwanamke au mwanamme?
 
Hamna shida havina muongozo sema yule dada mwenyewe NAE kasema hadi kwa media ptuuuuuuuuu sjui mchaga wa wapi vile
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania.

Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa
"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania.

Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Kale kajamaa kanajiita kagwiji ka kuchamba kama vile kuchamba ni tabia ya mwanaume!
Tumepata taarifa zake za ndaani kanamlilia mdada anayejulikana kama silver ikitafsiriwa kwa kiswahili cha waliokimbia darasa.

Nimeshangazwa na mtu anayejiita mwanaume analilia penzi na kujibebisha ijapo bidada anamuumbua kwa kuwa hana hisia nako.

Mwambieni wanaune huwa hawapaswi kulilia mwanamke. Kujiliza liza mbele ya mdada ni dalili ya udhaifu mkubwa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wewe upo na medula outdated sana kijana kama unamcheka binadamu kulia.

Mwanaume hautakiwi kutoa chozi kwa mke wako pekee kwa ajili ya kulinda maadili ya kiuongozi.

Sasa kwa hawara unajibana kulia ili kulinda nini?

Kulia ama kulizwa ukiwa nje ya mamlaka yako ni jambo la kawaida kabisa.

Ukizidiwa ama kudata, unalia tu wewe huna mandate ya kuhifadhi machozi uliyoumbiwa.

Labda useme kulia kama mtoto mdogo kwa sauti kabisa ng'haaa ng'haa nd'oaibu.

Lakini kama kuexpress hisia zako ni kwa kububujikwa machozi, unatakiwa ulie machozi ya simba ama zagamba la ng'ombe kimya kimya.
 
Labda tuseme kulia kama mtoto mdogo kwa sauti kabisa ng'haaa ng'haa nd'oaibu.

Back
Top Bottom