Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Wewe upo na medula outdated sana kijana kama unamcheka binadamu kulia.Kale kajamaa kanajiita kagwiji ka kuchamba kama vile kuchamba ni tabia ya mwanaume!
Tumepata taarifa zake za ndaani kanamlilia mdada anayejulikana kama silver ikitafsiriwa kwa kiswahili cha waliokimbia darasa.
Nimeshangazwa na mtu anayejiita mwanaume analilia penzi na kujibebisha ijapo bidada anamuumbua kwa kuwa hana hisia nako.
Mwambieni wanaune huwa hawapaswi kulilia mwanamke. Kujiliza liza mbele ya mdada ni dalili ya udhaifu mkubwa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mwanaume hautakiwi kutoa chozi kwa mke wako pekee kwa ajili ya kulinda maadili ya kiuongozi.
Sasa kwa hawara unajibana kulia ili kulinda nini?
Kulia ama kulizwa ukiwa nje ya mamlaka yako ni jambo la kawaida kabisa.
Ukizidiwa ama kudata, unalia tu wewe huna mandate ya kuhifadhi machozi uliyoumbiwa.
Labda tuseme kulia kama mtoto mdogo kwa sauti kabisa ng'haaa ng'haa nd'oaibu.
Lakini kama kuexpress hisia zako ni kwa kububujikwa machozi, unatakiwa ulie machozi ya simba ama zagamba la ng'ombe kimya kimya.