Kumbe kasemaji kao ni king'ang'a!

Wewe upo na medula outdated sana kijana kama unamcheka binadamu kulia.

Mwanaume hautakiwi kutoa chozi kwa mke wako pekee kwa ajili ya kulinda maadili ya kiuongozi.

Sasa kwa hawara unajibana kulia ili kulinda nini?

Kulia ama kulizwa ukiwa nje ya mamlaka yako ni jambo la kawaida kabisa.

Ukizidiwa ama kudata, unalia tu wewe huna mandate ya kuhifadhi machozi uliyoumbiwa.

Labda tuseme kulia kama mtoto mdogo kwa sauti kabisa ng'haaa ng'haa nd'oaibu.

Lakini kama kuexpress hisia zako ni kwa kububujikwa machozi, unatakiwa ulie machozi ya simba ama zagamba la ng'ombe kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…