Kumbe katika ufanyaji wa lile tendo kuna Mengi huwa yanafanyika

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za mida hii je nyie ni wazima wote Nyumbani hapo, kuanzia baba, mama, kaka zako dada zako ndugu zako wifi zako waambie nawasalimia aaah nimesahau🤦 nyau wenu pia mwambie namsalimia😜

Okey baada ya kutoa utambulisho wa nguvu twende kwenye mada yetu sasa, ipo hivi jana bwana kuna mdada alikuwa anawapa story rafiki zake wampe ushauri kwamba ana bwana ake huyo wakiwa wanafanya Mapenzi yule jamaa akipiga bao la kwanza huyo anatoka ndukiiii😲 anaenda mpaka kwenye msalaba ndani humo basi anapiga magoti chini anaanza kusali na kukemea yani kama anakuwa anajuta flani hivi,

Anaskitika kweli akishamaliza anarudi tena kuendelea kutafuta la pili😂 akimaliza kulimwaga huyo tena anachomoka😂😂 wapi eneo lile lile anarudia kile kitendo chake cha kulaani na kukemea kujuta, sasa wajameni mi nilicheka weeeee Nikasema nilete humu Mnaweza mkasaidia huyo ni mtu wa Namna gani?

👋🤪🏃🤦
 
Nyuzi za kisenge Kama hizi sijui server inafeli wapi?
Siyo za kisenge Mkuu, kuna watu wenye kawaida ya kujuta baada ya $xc. Ni hali inayochangiawa na saikolojia ya mtu maelezi/makuzi ya muhusika n.k.....huyo atakuwa mmoja wapo.
 
Enzi hizo kuna mdada alikuwa anakubali kwa shida sana kufanya mapenzi na baada ya kufanya analia na anasema tutubu kabla sijaenda home, tumefanya dhambi ya uzinzi mbele za Mungu.

Nimegundua kuwa wapo watu wana hofu ya Mungu sana na hawataki kumkosea Mungu so wanafanya tu kwa kushinikizwa au ili kumridhisha mwenzie ila baada ya kufanya wanajihukumu wenyewe sana kabla ya Mungu kuwahukumu.

Hata wapiga punyeto pia wako hivyo

Tunawakosea sana wale waliojiconnect vizuri kiroho na Mungu wao.
 
Lbl ndo nguvu zake za kiume zilipo hapo kwa msalaba
 
Natak kutest ile ya kuvaa chupi kichwan kama rambo?
 
N kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…