Wapiga nyeto/mgalala kupima kuna wahusu ?
Leo nimekwenda hospital mwenyewe bila kushurutishwa, nikamuona bwana mganga akanisaili vaya kutosha,kisha akaniuliza... unataka kupima nini bwana kabanga ? Nikamwambia sukari, mkojo, malaria na na na.... zikawa zakutosha kipimo kikubwa.
Kazi nilikuwa kusubiria matokeo...
Mwisho wa siku safi.....
Jamani tukapime...!
Swahiba inawezekana mikono imepata maambukizi so ikawa so kuambukiwa nanihiii bana Judgment
mkiva utashangaa dushe inapata maambukizi kutoka kwenye mikono bana noma sana hiyohapo kwenye mikono kupata vizusi pamenivunja mbavu
Swahiba nimekusoma kiongozi , sikuwepo mjengoni kitambo.
Kumbe ndiyo iko hivyo !