Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wakati watu wanashanga ujasiri wa Kagame kutupiana maneno na Ramaphosa wa SA kuhusu mgogoro wa Mashariki ya DRC, mtandaoni kuna lawama chungu nzima za raia wa Africa Kusini wakimlaumu rais wao Ramaphosa kuongozwa na maslahi ya makampuni binafsi na yake mwenyewe kupeleka majeshi Congo.
Baadhi ya raia wanadai Ramaphosa haongozwi na maslahi ya kiutu bali ni makampuni mengi ya SA yaliyopo Congo hasa kwenye sekta ya madini ambayo yamepewa kipaumbele zaidi na Rais Tshisekedi wa DRC baada ya kuingia madarakani.
Kama ni hivi huu mgogoro ni mgumu kuliko unavyoonekana kwa juu juu tu!
Haya hapa ni makampuni mengine ya South Africa yanayosemwa yamejikita kwenye sekta ya madini huko Congo.