Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe na kampuni za Rwanda ziporazo madini ya Congo.Wakati watu wanashanga ujasiri wa Kagame kutupiana maneno na Ramaphosa wa SA kuhusu mgogoro wa Mashariki ya DRC, mtandaoni kuna lawama chungu nzima za raia wa Africa Kusini wakimlaumu rais wao Ramaphosa kuongozwa na maslahi ya makampuni binafsi na yake mwenyewe kupeleka majeshi Congo.
Baadhi ya raia wanadai Ramaphosa haongozwi na maslahi ya kiutu bali ni makampuni mengi ya SA yaliyopo Congo hasa kwenye sekta ya madini ambayo yamepewa kipaumbele zaidi na Rais Tshisekedi wa DRC baada ya kuingia madarakani.
Kama ni hivi huu mgogoro ni mgumu kuliko unavyoonekana kwa juu juu tu!
View attachment 3219646
Haya hapa ni makampuni mengine ya South Africa yanayosemwa yamejikita kwenye sekta ya madini huko Congo.
View attachment 3219647
Kampuni za kihuni zipo Hadi ulaya hasa ufaransa ushawahi jiuliza kwanini kila koloni la ufaransa Lina vita na machafuko?Ndio maana ni upuuzi mkubwa sana mtu kusema mabeberu wa west wanashirikiana na Kagame pamoja na M23 kuleta vita Congo.
Nyie ni wapumbavu mnaishi zama za giza.Kumbe wenzetu wananufaika sana huko sisi hatuchangamkii hiyo fursa
Sie tumelala kweli,alafu wakitifuana uko si uku asala tuKumbe wenzetu wananufaika sana huko sisi hatuchangamkii hiyo fursa