Kumbe kelele kubwa ya Rais Ramaphosa wa SA kwa Kagame kuhusu Congo inachagizwa na maslahi binafsi pia!

Lakini SI yapo kihalali kwanini kagame anataka kuingia Kwa mgongo wa nyuma?
Ndio maana ni upuuzi mkubwa sana mtu kusema mabeberu wa west wanashirikiana na Kagame pamoja na M23 kuleta vita Congo.
 
Tupe na kampuni za Rwanda ziporazo madini ya Congo.
 
Ndio maana ni upuuzi mkubwa sana mtu kusema mabeberu wa west wanashirikiana na Kagame pamoja na M23 kuleta vita Congo.
Kampuni za kihuni zipo Hadi ulaya hasa ufaransa ushawahi jiuliza kwanini kila koloni la ufaransa Lina vita na machafuko?

Na kwanini analazimisha kufungua kambi za kijeshi kwenye nchi za West Africa?
 
Aise!
Sijui na sisi huku tunapeleka majeshi yetu huko Kongo kwa maslahi ya nani!
Inafikirisha.
 
Ujielewi wewe US ana peleka jeshi sehemu zote ambazo ana maslahi nazo ,pale Syria jeshi la USA lipo sehemu ambazo ameshikilia mafuta ,ila kwakua ni Afriica ndo unapiga kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…