Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kuna huyu mzungu aliyeanzisha kampuni yake hapa Kenya ya kuunda efficient jiko ambayo haitumii makaa kwa wingi kwa jina la Jiko koa. Anasema kwamba kampuni yake sasa ndio inayotengeneza jiko nyingi zaidi duniani. Mwezi huu pekee wataunda jiko 70,000 na nyingi zinakuwa exported nje ya Kenya.