Ndio tatizo la watu kuishi kama nyumbu, hakuna kutumia akili ni kuendeshwa endeshwa na kuaminishwa chochote, yaani ukitazama nyumbu wanapovuka mto, akiruka wa kwanza wengine wanafuata hata kama wanaliwa na mamba. Yaani huwaga hamjiongezi wala kufanya utafiti, ukiambiwa na kuaminishwa unakurupuka.
Jiulize kama ndege zilikua za EAC, mbona Uganda aliufyata hadi leo hajawahi kuongea, na mbona Nyerere pia aliufyata na kuishia kuhimiza chuki dhidi ya Wakenya kimya kimya lakini mambo ya ndege hakua anayazungumzia. Leo hii ndege zimekua zinaaruka huko, mbona huwa hamzichukui kama kweli zenu....Fanyeni utafiti EAA ilikua na deni kiasi ngapi cha National bank of Kenya.....