Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

Ok. Sikumbuki inawezekana. Lakini bado ilikuwa kampuni ya nchi 3
Nchi nne, hapo awali shirika la E.A.A lilipokuwa linabuniwa Tanganyika na Zanzibar hazikuwa chini ya muungano mmoja. Sasa mlitegemea Kenya ipate hasara au, na huo umiliki wenu wa 9% tu, huku Kenya ikimiliki 67.7%, na pia deni kubwa ambalo Kenya ilikuwa inalidai shirika hilo? E.A.C tangu zamani ilikuwa ni njia ya kuinyonya Kenya. Yaani tutie bidii, kihali na kimali, alafu wavivu waje wavune eti.
 
pingli-nywee , acha nisiwe mbahiri, nitawa-spoonfeed tu.

On 30 October 1945, the act that called for the creation of the East African Air Transport Authority, the organism that among other things would create East African Airways (EAA), was signed. With an initial £50,000 capital, ownership of the company was split between the Kenya Colony (67.7 percent), Uganda (22.6 percent), the Tanganyika Territory (9 percent), and Zanzibar (0.7 percent).
 
Nchi nne, hapo awali shirika la E.A.A lilipokuwa linabuniwa Tanganyika na Zanzibar hazikuwa chini ya muungano mmoja. Sasa mlitegemea Kenya ipate hasara au, na huo umiliki wenu wa 9% tu, huku Kenya ikimiliki 67.7%, na pia deni kubwa ambalo Kenya ilikuwa inalidai shirika hilo? E.A.C tangu zamani ilikuwa ni njia ya kuinyonya Kenya. Yaani tutie bidii, kihali na kimali, alafu wavivu waje wavune eti.

Ndio maana huwa nashauri sku zote huu muungano wa sasa wa EAC ubaki tu kwenye kushirikiana kibiashara lakini tusizidi zaidi ya hapo, maana tukiungana kabisa halafu Wakenya tuendelee kujituma wakati wenzetu wanaendeleza usingizi wao, ikitokea vurugu za kusababisha uvunjwaji wa muungano, tutapoteza sana.
Leo hii Tanganyika na Zanzibar huwa hata hawaelewani kwenye kamuungano kao ambapo kalijengwa kiusanii, hakuna Mtanzania anayeweza kukueleza huo muungano wao huwa ni nini haswa, maana sio federation wala confederation wala sio union... Yaani wapo wapo tu, tusijaribu kuingia kwenye huo mtego.
 
Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
Kidogo utaskia huyo rais wako akisema
Kumbe Kenya pamoja na kujidai kootena akili zao walidhulumu vichwa vya wabongo.

Bure kabisa!
 
Ndio maana huwa nashauri sku zote huu muungano wa sasa wa EAC ubaki tu kwenye kushirikiana kibiashara lakini tusizidi zaidi ya hapo, maana tukiungana kabisa halafu Wakenya tuendelee kujituma wakati wenzetu wanaendeleza usingizi wao, ikitokea vurugu za kusababisha uvunjwaji wa muungano, tutapoteza sana.
Leo hii Tanganyika na Zanzibar huwa hata hawaelewani kwenye kamuungano kao ambapo kalijengwa kiusanii, hakuna Mtanzania anayeweza kukueleza huo muungano wao huwa ni nini haswa, maana sio federation wala confederation wala sio union... Yaani wapo wapo tu, tusijaribu kuingia kwenye huo mtego.
Kweli kabisa. Kwenye muungano huo zaidi ya kibiashara wakenya hatuna la kufaidi. Itakuwa ni kuliwa tu, hata huo muungano wa E.A.C wa awali ulikuwa unaendelezwa kwa mgongo wa Kenya. Enzi hizo kwenye E.A Postal Services walikuwa wanaibuka na ratio za ajabu, eti wakijenga posta mpya tano Kenya zinajengwa kumi Uganda na kumi na tano Tanzania. Bora hivyo ilivosambaratika.
 
Source ni rais wako. 'Common knowlegde' ni kwamba Tz haikuwa na umiliki wa hata asilimia kumi ya E.A.Airways. Zanzibar; 0.7%, Tanganyika; 9%, Uganda; 22.6%, Kenya; 67.7%. Kati ya wafanyikazi 5,000 wa E.A.Airways 3,000 walikuwa wakenya. Makao makuu ya E.A.Airways, uwanja wa ndege wa Eastleigh, Nairobi na baadaye Embakasi na Wilson Airport. Uwe unajiongeza kwa kufanya utafiti kwanza kabla ya kuteletea umbea kutoka kwa rais wako.
Mbn hazijai mia
 
sasa kwa nini hatukuwapeleka au hatuwapeleki mahakamani mbona watanzania tumekuwa kichwa cha mwendawazimu kiasi hiki.

Nasikia hako kandege kamoja tulikokapata kipindi EAC inavunjika kalitokana na rubani wa kitanzania mzalendo aliyejitoa kuirusha ndege kuja Tanzania bila ruhusa ya mamlaka za kenya na kidogo Kdf wamtungue
kdf miaka hyo walikuwa hawana ata silaha moja yenye uwezo wa kurinda anga lao
 
Zilipark Kenya ndio ila wazee wa data wanafahamu zilirudi TZ zikiwa na Rangi nyingine...
 
Aaa wapi! East Africa Airways ilipobuniwa, na hadi iliposambaratika umiliki ulikuwa ni ule ule. Kenya ilimiliki kwa kiasi kikubwa zaidi, 67.7% huku jamaa wa blah blah nyingi Tanganyika na Zanzibar wakimiliki 9% na 0.7% mtawalia. Uganda 22.6%.
Kama kawaida yenu wakenya, hamna mnachojua zaidi ya kupiga domo tupu, kila nchi ilichangia sawa katika kuundwa kwa EAC mwaka 1967, ila Kenya ilichafuliwa kuwa maka makuu ya East Africa Airways, Tanzania kuwa HQ hapo Arusha, na Uganda kuwa makao makuu ya posta na simu.

Baada ya kuvunjika kwa EAC, Tanzania tulibaki na Mali nyingi zaidi zisizohamishika, majengo yote pale Arusha tuliyachukua, hapakua na sababu yoyote ile ya kugombea ndege nyingi zilizokua Kenya ambako ndio kulikua HQ ya East Africa Airways, sio kwasababu Kenya ilikua imechangia zaidi katika ndege, je unataka kutuaminisha kwamba Tanzania ilichangia zaidi katika ujenzi wa HQ pale Arusha ndio sababu ikabaki na majengo yote?.

Kwanini inataka Zanzibar wakati hapakua na Zanzibar mwaka 1967 EAC ilipoundwa, na kamwe Zanzibar haijawahi kuwa na ndege zake?, nchi zilizounda EAC mwaka 1967 ni tatu tu, Kenya Uganda na Tanzania, hii ZANZIBAR umeitoa wapi?.
 
Ni aibu kubwa kama taifa kudhulumiwa na wakenya au ndio maana siku hizi tunawaibia sana wakija huku ? Binafsi nimeona wakenya wengi wakitapeliwa na wabongo wanalia kama watoto
 
Tatizo kubwa la Watanzania walio wengi ni uvivu wa kufikiri na kufanya utafiti japo kidogo ili kujiridhisha na facts kabla ya kusema au kuandika jambo. Japo ni kweli ilipovunjika EAC ndege nyingi zilikuwa Kenya LAKINI KWENYE MGAO WA MALI NA MADENI ULIOFANYIKA BAADAE KENYA ILILIPIA.
Pili ndege zilizokuwa enzi hizo ni VC na DC. Je zipo leo?
Mwacheni jiwe azidi kujidhalilisha.
Lete ushahidi kama Kenya ililipia. Kuhusu aina ya ndege kuwepo, tumia akili kidogo unapochangia, sasa ulitegemea ziendelee kuwepo hadi Leo ili iweje?, zilifanya kazi zikazalisha faida ambayo ndiyo iliyotumika kununua hizi za sasa, ukipewa mtaji wa $1M ukafanyia biashara ukapa $70, isingekuwa ile $1M ungewezaje kupata $70M?
 
Ndio tatizo la watu kuishi kama nyumbu, hakuna kutumia akili ni kuendeshwa endeshwa na kuaminishwa chochote, yaani ukitazama nyumbu wanapovuka mto, akiruka wa kwanza wengine wanafuata hata kama wanaliwa na mamba. Yaani huwaga hamjiongezi wala kufanya utafiti, ukiambiwa na kuaminishwa unakurupuka.
Jiulize kama ndege zilikua za EAC, mbona Uganda aliufyata hadi leo hajawahi kuongea, na mbona Nyerere pia aliufyata na kuishia kuhimiza chuki dhidi ya Wakenya kimya kimya lakini mambo ya ndege hakua anayazungumzia. Leo hii ndege zimekua zinaaruka huko, mbona huwa hamzichukui kama kweli zenu....Fanyeni utafiti EAA ilikua na deni kiasi ngapi cha National bank of Kenya.....
naona na wEwe umeaminishwa kila nyumbu ana vuka MTO, kila nyumbu ana patikana katika maeneo yenye mito...
 
Nchi nne, hapo awali shirika la E.A.A lilipokuwa linabuniwa Tanganyika na Zanzibar hazikuwa chini ya muungano mmoja. Sasa mlitegemea Kenya ipate hasara au, na huo umiliki wenu wa 9% tu, huku Kenya ikimiliki 67.7%, na pia deni kubwa ambalo Kenya ilikuwa inalidai shirika hilo? E.A.C tangu zamani ilikuwa ni njia ya kuinyonya Kenya. Yaani tutie bidii, kihali na kimali, alafu wavivu waje wavune eti.
Hahahaha, EAC iliundwa 1967, wakati Tanganyika na Zanzibar ziliungana 1964 na kuzaluwa Tanzania, vipi unasema EAC iliundwa na nchi NNE, hizi bhangi umevuta SAA ngapi Leo?
 
Back
Top Bottom