Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
mkuu mnapokuwa na share, na ikatokea mnafarakana, kuna vitu vitawaletea ukakasi kugawana.Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
Hujui kuwa sisi tulibaki na majengo ya thamani kubwa?
AICC???
wao pia walitaka wafaidi