Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
mkuu mnapokuwa na share, na ikatokea mnafarakana, kuna vitu vitawaletea ukakasi kugawana.
Hujui kuwa sisi tulibaki na majengo ya thamani kubwa?
AICC???
wao pia walitaka wafaidi
 
Lete ushahidi kama Kenya ililipia. Kuhusu aina ya ndege kuwepo, tumia akili kidogo unapochangia, sasa ulitegemea ziendelee kuwepo hadi Leo ili iweje?, zilifanya kazi zikazalisha faida ambayo ndiyo iliyotumika kununua hizi za sasa, ukipewa mtaji wa $1M ukafanyia biashara ukapa $70, isingekuwa ile $1M ungewezaje kupata $70M?

Wewe ni mfano HALISI wa aina ya Watanzania niliowaongelea hapa. Umeshindwa japo ku-google tu ili uone kama kulifanyika mgao wa madeni na mali kwa nchi husika lakini bado unaandika ulichokiandika!
 
Hahahaha, EAC iliundwa 1967, wakati Tanganyika na Zanzibar ziliungana 1964 na kuzaluwa Tanzania, vipi unasema EAC iliundwa na nchi NNE, hizi bhangi umevuta SAA ngapi Leo?

You are not only arrogant but stupid as well. Hakikisha kitu kabla hujaropoka. EAC ilianzishwa 1961 japo msingi wake ulianza zamani zaidi wakati wa ukoloni. Kama unaweza kusoma soma hapa
History of the EAC
 
Kila mtu alichukua kilichokuwepo nchini kwake. Sisi tukapata bandari reli na hata haya makao ya Atc ukumbi wa Mkutano Arusha.
Muhimu baada ya kuvunjika iliteuliwa kampuni ya ufilisi mali na wakafanya mahesabu na kila nchi ikapata share zake ikiwamo pensheni za waliokua wafanya kazi.
Kenya wakawalipa wafanya kazi wao na hata Iddi Amin naye aliwalipa wafanyakazi wake.
Tanzania mpaka leo tumewadhulumu wananchi wetu
 
Achaneni nao hawa mazwazwa safari hii wameingia kwenye mikono ya mchina, hamjui vzur huyu mkunyan ameweka bandari kama dhamana kwaajili ya SGR yao iliyofeli, mchina atamfanyia fitina ashindwe kulipa deni achukue bandari. Hii mijitu haina hesabu inakurupuka wanaumia kuona watapigwa gape na Tz. Huu mchezo hauitaji hasira Only Brain Can Work. (OBCW)
 
Kila mtu alichukua kilichokuwepo nchini kwake. Sisi tukapata bandari reli na hata haya makao ya Atc ukumbi wa Mkutano Arusha.
Muhimu baada ya kuvunjika iliteuliwa kampuni ya ufilisi mali na wakafanya mahesabu na kila nchi ikapata share zake ikiwamo pensheni za waliokua wafanya kazi.
Kenya wakawalipa wafanya kazi wao na hata Iddi Amin naye aliwalipa wafanyakazi wake.
Tanzania mpaka leo tumewadhulumu wananchi wetu

Nilishangaa sana kuskia wazee Watanzania waliokua wafanyi kazi kwwnye mashirika ya EAC hawakulipwa chochote hadi leo, ilhali Waganda na Wakenya walilipwa chao.
 
Naomba nikuulize swali la kizushi... East Africa ilikuwa baina ya nchi ngapi? Ukishatoa jibu ndipo utakapopingana na huyu mheshimiwa
East Africa _____? Hili swali lako sio la kizushi, ni la kipumba kupindukia. Utaulizaje Afrika Mashariki ilikuwa ni baina ya nchi ngapi? Jibu sahihi ni nchi zote ambazo zipo mashariki mwa Afrika. Kama ilivyo kwa Afrika magharibi na Afrika kaskazini pia n.k, n.k.
 
Akili zenu wkny na kuku hazina tofauti, rudi kwenye hoja ya msingi
Mkishauriwa na watanzania mnashupaza shingo zenu zitavunjika.

Angalia wachina wanachosema hapa ili ujue Kenya ni wapuuzi sana, wanajinadi kusaini mkataba wa EPA
Hua Chunying:Our decision to take over Mombasa port is only a favour.Kenya owes China a lot -
 
Umiliki wa hisa za East Africa Airways ulikuwa hivi; Zanzibar: 0.7%, Tanganyika: 9%, Uganda: 22.6% na Kenya: 67.7%! E.A.Airways pia ilikuwa inadaiwa na Kenya $485.4 Million.

aksante kwa takwimu.
lkn tunaomba utupe chanzo zake kisicho na SHAKA.
 
pingli-nywee , acha nisiwe mbahiri, nitawa-spoonfeed tu.

On 30 October 1945, the act that called for the creation of the East African Air Transport Authority, the organism that among other things would create East African Airways (EAA), was signed. With an initial £50,000 capital, ownership of the company was split between the Kenya Colony (67.7 percent), Uganda (22.6 percent), the Tanganyika Territory (9 percent), and Zanzibar (0.7 percent).

Your a fool sorry if ur offended but what you revealed means you deserve this description. Yaani unatuletea data za 1945 kipindi ambapo nchi zote zilikuwa hazipo huru!
 
Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
Hawakudhulumu kwani mwisho wa siku alitafutwa mtaalam ambaye aligawanya mali, raslimali watu na madeni. Kila nchi iliridhia hilo.
 
Umiliki wa hisa za East Africa Airways ulikuwa hivi; Zanzibar: 0.7%, Tanganyika: 9%, Uganda: 22.6% na Kenya: 67.7%! E.A.Airways pia ilikuwa inadaiwa na Kenya $485.4 Million.

Muungano Africa Mashariki katika kipindi hicho ulikuwa nchi ngapi? Hivi hili swali kulijibu ni ngumu sana?
 
MaBongolala hawawezi kutumia bongo zao kucheki kwenye mtandao, wanasubiri kuambiwa tu. Haya, kwa hisani ya Wikipedia............... Nasisitiza kwa kutumia colours, na bold type. If you can't see, I recommend you to go to school of the blind.

Management assistance from Aer Lingus was contracted in mid-1976 amid deteriorating relations between the three countries that ran the airline.[25] Financial difficulties deepened when both Tanzania and Uganda struggled or failed to pay their outstanding debts for the operations of the airline.[26][27][28] EAA operations came to a total halt in January 1977.[29][30] The airline had incurred in a debt of US$120,000,000 (equivalent to $485,403,624 in 2017) when it went into liquidation in February 1977, with the Kenyan government being one of the major creditors.[26] Both Kenya and Uganda had established their own national airlines before the folding of the corporation, with Uganda Airlines forming in 1976 and Kenya Airways in 1977.[29] Tanzania followed in April 1977 with the formation of Air Tanzania.[31]
Wikipedia hata mimi nikitaka naweza edit sasa hivi,sio chanzo cha kuamini sana..
 
Muungano Africa Mashariki katika kipindi hicho ulikuwa nchi ngapi? Hivi hili swali kulijibu ni ngumu sana?
Kipindi kipi? Muungano wa E.A.C ulianza rasmi 1967 kati ya Ke, Tz na Ug. E.A.Airways ilibuniwa miaka mingi tu kabla ya muungano wa E.A.C na pia kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Unachosha sana wewe jamaa, yaani ulifungua uzi kuhusu masuala ambayo huyaelewi hata kidogo?
 
Nia yangu ilikuwa nataka kukuonyesha kuwa kama zilikuwa nchi 3 kwenye hizo share za E.A.A Tanganyika 9% na Zanzibar 0.7% Kenya 67... % na Uganda 22....%zimetoka wapi? Huoni ukiiweka Zanzibar muungano unakuwa na nchi nne? Kwa hiyo namsupport mdau mmoja humu ambaye alisema huo muungano na hizo share zilikuwepo wakati ule wa ukoloni na si mwaka 1967. Umenipata nyang’au
 
Back
Top Bottom