joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Naomba unipatie link inayoonyesha mgawanyo wa iliyokua EAC, acha kunionyesha ripoti ya consultant aliyeteuliwa kuja kusimamia hilo zoezi, ninachotaka ni ripoti inayoonyesha kila nchi ilipata kiasi gani?.Entity ikifungwa (ikawa sio going concern tena) mali na madeni yake hufanyiwa tathmini na 3rd party. Baada ya hapo mgawanyo hufanyika kulinga na hisa. Ndicho kilichofanyika kwa EAC na kwa mantiki hiyo Kenya haikudhulumu wala kudhulumiwa. Same kwa Tanzania na Uganda.
Kwa taarifa yako, EAC iliyopita kama ilivyo hii ya sasa, nchi zote zina equal share, equal rights, hakuna mwenye share kubwa wala ndogo. Hata michango ya kila mwaka nchi zote zinachangia sawa sawa.