joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Geza amekuwekea article hapo inayoonyesha kwamba in 1965 share zote ziligawanywa upya na kila nchi ikapata equal shares, vipi hadi Leo unatumia mgawanyo wa share za 1945 wakati hizo hatukuridhia?.Unaumwa, ndio maana hujui tofauti kati ya E.A.A na E.A.C, E.A. Airways na E.A. Community, tuliridhi mashirika haya yote kutoka kwa mkoloni na tukayaendeleza chini ya utawala wa mwafrika mweusi. Kwa nchi kama Tz ambazo bado zinaendeleza mifumo ya kikoloni chini ya katiba za kikoloni, yale yote mliyoyaridhi bado mnayatumia hadi sasa hivi. MaR.C na maD.C, miaka hamsini na sita baada ya kupata uhuru!
Hakuna E.A. Airways wala ndege mpya za baada ya uhuru au baada ya muungano wa Afrika Mashariki.
Be informed that
1)Share za 1945 zilipangwa na mfalme wa England, hakuna nchi hata moja iliyochangia, kwahiyo acha kusema Kenya ilibebeshwa mzigo
2)Gharama zote na faida za EA airways zilibebwa na kuchukuliwa na Mfalme wa England, sio Kenya, Tanzania wala Uganda.
3) 1965, share zote tuligawana upya na kila nchi ilipata share sawa.
4) Refer kwenye link uliyopewa na Geza, soma upate kuelewa.