Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

Unaumwa, ndio maana hujui tofauti kati ya E.A.A na E.A.C, E.A. Airways na E.A. Community, tuliridhi mashirika haya yote kutoka kwa mkoloni na tukayaendeleza chini ya utawala wa mwafrika mweusi. Kwa nchi kama Tz ambazo bado zinaendeleza mifumo ya kikoloni chini ya katiba za kikoloni, yale yote mliyoyaridhi bado mnayatumia hadi sasa hivi. MaR.C na maD.C, miaka hamsini na sita baada ya kupata uhuru!
Hakuna E.A. Airways wala ndege mpya za baada ya uhuru au baada ya muungano wa Afrika Mashariki.
Geza amekuwekea article hapo inayoonyesha kwamba in 1965 share zote ziligawanywa upya na kila nchi ikapata equal shares, vipi hadi Leo unatumia mgawanyo wa share za 1945 wakati hizo hatukuridhia?.

Be informed that
1)Share za 1945 zilipangwa na mfalme wa England, hakuna nchi hata moja iliyochangia, kwahiyo acha kusema Kenya ilibebeshwa mzigo
2)Gharama zote na faida za EA airways zilibebwa na kuchukuliwa na Mfalme wa England, sio Kenya, Tanzania wala Uganda.
3) 1965, share zote tuligawana upya na kila nchi ilipata share sawa.
4) Refer kwenye link uliyopewa na Geza, soma upate kuelewa.
 
Hivi kwa akili yako ulidhani sielewi very simple and basic thing Kama liquidation?. Any way issue hapa sio liquidation, ni ushahidi kuonyesha kwamba mgawano wa Mali zilizokua za EAC ulifanyika, Tafadhali lete ushahidi unaoonyesha kwamba kitendo cha kugawana Mali kiligokea.

Kumbuka kwamba liquidation ni tukuo la kisheria baada ya ushirikiano kuvunjika kwa sababu yoyote ile. EAC ilivunjika kwa ugomvi na kila nchi kukamata alichokua nacho, hakuna nchi yoyote ile iliyokwenda mahakamani ili kudai haki za kisheria, kama una ushahidi wa liquidation kufanyika Tafadhali tunaomba ushahidi.

Pole sana. Ni bora mtu anaejua hajui kitu kuliko asiejua kuwa hajui huku akijiaminisha anajua. You sir/madam are certified incorrigible.
 
Unaumwa, ndio maana hujui tofauti kati ya E.A.A na E.A.C, E.A. Airways na E.A. Community, tuliridhi mashirika haya yote kutoka kwa mkoloni na tukayaendeleza chini ya utawala wa mwafrika mweusi. Kwa nchi kama Tz ambazo bado zinaendeleza mifumo ya kikoloni chini ya katiba za kikoloni, yale yote mliyoyaridhi bado mnayatumia hadi sasa hivi. MaR.C na maD.C, miaka hamsini na sita baada ya kupata uhuru!
Hakuna E.A. Airways wala ndege mpya za baada ya uhuru au baada ya muungano wa Afrika Mashariki.

Unapoteza muda wako bure na huyo mtu. Kakaririshwa na anaimba aliyokariri hata kama simple logic (that should be apparent to a retardant 5 year old) ina-suggest otherwise.
 
Pitia hii evidence chini!
In January 1965 a committee was appointed to review the constitutional position of the Corporation as a result of independence. As a consequence of its deliberations regarding ownership, the fleet which had hitherto been registered entirely in Kenya, was apportioned as equally as possible between the three countries and re-registered accordingly. In addition, BOAC were asked to relinquish their interest in E.A.A.C. in return for assurances that the £11 million loan made by BOAC in 1959 would be redeemed by 1967-68. In actual fact this target was improved upon and the loan was redeemed by the end of 1966.

East African Airways · East African Airways

Asante Geza hawa jamaa hawataki kukubali kuwa ni wezi wanafurahia shirika ambalo wao hawajui Tanzania na Uganda wana mitaji iliyodhulumiwa. Wanachopaswa kutueleza je wamerudisha share walizoiba?
 
How
Unapoteza muda wako bure na huyo mtu. Kakaririshwa na anaimba aliyokariri hata kama simple logic (that should be apparent to a retardant 5 year old) ina-suggest otherwise.
Wewe huna inalojua, hata hiyo liquidation hujui inafanyikanaje, nenda jipange upya hapa ni high voltage discussion huna uwezo nayo, rudi katika threads za udaku ambazo hutakiwi kutoa evidences.
 
HowWewe huna inalojua, hata hiyo liquidation hujui inafanyikanaje, nenda jipange upya hapa ni high voltage discussion huna uwezo nayo, rudi katika threads za udaku ambazo hutakiwi kutoa evidences.

You are more stupid than I thought! Seriously nchi ihodhi mali za wengine HALAFU ZILE NCHI ZILIZOPORWA ZIKAE KIMYA? Yule Mwingereza alieteuliwa (kwa makubaliano ya nchi husika) alijileta? Na alikuja kufanya nini? Kwa nini EADB yenye makao yake Uganda bado ni mali ya wanachama wa EAC?
Am sorry, you are not stupid. YOU ARE AN IDIOT!
 
Wewe hujui kitu zaidi ya kupiga domo tupu, hakuna nchi iliyodhulumiwa, kila nchi ilikamata Mali waliyokuwa nayo, Kenya kulikua ni makao makuu ya ndege, walikamata ndege nyingi, Tanzania ilikua ndio makao makuu ya Jumuia, tulikamata majengo yote, hadi Leo ni Mali ya Tanzania chini ya shirika la Arusha International center, ambalo ni Mali ya serikali ya Tanzania hadi Leo, Uganda hadi Leo ni Mali yao sio ya EAC hii mpya, labda kama wamekodisha, pale Arusha, EAC inajenga HQ mpya, sio zile za zamani ambazo sasa hivi ni AICC.
 
HowWewe huna inalojua, hata hiyo liquidation hujui inafanyikanaje, nenda jipange upya hapa ni high voltage discussion huna uwezo nayo, rudi katika threads za udaku ambazo hutakiwi kutoa evidences.
Hehehe! Ati High voltage???? you truly a big joke. Wewe hakuna ulijualo ila kuimba kile geza(ccm) wanakuimbia. You are a robot ni vile hujui.
 
Ina maana Tanzania ililipia majengo yote ya HQ pale Arusha?, basi Tanzania ni tajiri sana, kwasababu yale majengo thamani yake ni Mara tano ya ndege zote zilizokuwa za EAC.

Sijawai ona mtu mpumbavu kama wewe. Hoja ni, kama Kenya ilimiliki asilimia kubwa zaidi ya EAA, mbona mnashinda mkilalamika kila mara eti mliibiwa Ndege? Mbona wasilalamike Waganda ambao hawakupata kitu? Mbona Kenya hatulalamiki kubaki kwa Msjengo ya EAC Tanzania?
 
Zaidi ya upumbavu wewe ni fala sana, nimekuambia, EA airways iliyoundwa 1945 iliundwa na waingereza na hata hizo share ziligawiwa na waingereza vilivyo walivyopenda, hakuna nchi yoyote kati ya hizo nne zilichangia, Kenya ilipewa share kubwa kwasababu HQ ya East Africa British ilikua Nairobi.

1965 wakati nchi zote zimepata Uhuru tulikubaliana kuzipanga upya hizo share na kila nchi ambazo kipindi hiki zilikua 3 zikapata share sawa.

Mimi sio miongoni mwa wanaolalamika kwa Kenya kukamata ndege zote za EAC kwasababu Tanzania tulikamata majengo yote na yenye thamani kubwa kuliko ndege, ila nipo hapa kupinga kauli za baadhi ya wakenya wanaosema katika umiliki wa EAA ya 1967 Kenya ilichangia zaidi kuliko nchi zengine kwahiyo ilistahili kuchukua ndege nyingi
 
Mlikubaliana na nani mpuzi wewe, lete ushahidi kwamba mlikubaliana maanake ushahidi unaoshesha hizo asilimia tulizokupea. Hao hao Wazungu ndio walioipa Tanzania eneo kubwa la ardhi kama walivyopenda mbona hamlalamikii Hilo?

Acha uwongo, umelalamika humu mara sii haba jinsi Kenya walivyonyakua Ndege.
 
Mlikubaliana na nani mpuzi wewe, lete ushahidi kwamba mlikubaliana maanake ushahidi unaoshesha hizo asilimia tulizokupea. Hao hao Wazungu ndio walioipa Tanzania eneo kubwa la ardhi kama walivyopenda mbona hamlalamikii Hilo?

Acha uwongo, umelalamika humu mara sii haba jinsi Kenya walivyonyakua Ndege.
East African Airways · East African Airways
Soma hii link uone jinsi share za EA airways za mkoloni zilivyogawanywa upya ili kuanzishwa kwa EAA ya mwaka 1967. Ukweli hamuutaki mnataka SIFA za kijinga.
 
Rwanda Nchi ndogo wanazo ndege 12 na wametoka vitani juzi tu. Nyinyi tangu uhuru mko na moja tu ama tuwapatie KQ kadhaa ila hamjasema mnataka ngapi. Mnataka ngapi muache kulia lia kama watoto wanaotaka pipi????
Rwanda nchi ndogo na wametoka kuchinjana lakini wameweza kudhibiti ukabila, rushwa, exrajudicial killings, slums, unemployment na hawapewi chakula cha msaada.
 
East African Airways · East African Airways
Soma hii link uone jinsi share za EA airways za mkoloni zilivyogawanywa upya ili kuanzishwa kwa EAA ya mwaka 1967. Ukweli hamuutaki mnataka SIFA za kijinga.
You're simply giving me back the information we have you, stupid. Kenya owned 67.7% of EAA. Stop whining and work hard. Try to revive your dead Air Tanzania.
 
Back
Top Bottom