mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Rais wako ni kichwa maji! amejaza tu mharo kichwani.
hapa itabidi utumie diagram kujieleza! tofu and ya kiuchumi ndio mnyama gani??Mnahara ninyi maana hofu ya kiuchumi ilishawatanda. Hata hivyo ni vigumu kumsifia mshindani wako
Tunaomba utujuze wwHivi unajua Kenya ilikuwa inamiliki asilimia ngapi ya E.A Airways? Kamuulize rais wako.
Tunaomba utujuze ww
Wacha uzembe, fanya utafiti.
Wewe ulitakiwa uwe na ushahidi wa kitafiti lakini kama huna no right to speak. Basi narudisha uzembe kwako
Ndio tatizo la watu kuishi kama nyumbu, hakuna kutumia akili ni kuendeshwa endeshwa na kuaminishwa chochote, yaani ukitazama nyumbu wanapovuka mto, akiruka wa kwanza wengine wanafuata hata kama wanaliwa na mamba. Yaani huwaga hamjiongezi wala kufanya utafiti, ukiambiwa na kuaminishwa unakurupuka.
Jiulize kama ndege zilikua za EAC, mbona Uganda aliufyata hadi leo hajawahi kuongea, na mbona Nyerere pia aliufyata na kuishia kuhimiza chuki dhidi ya Wakenya kimya kimya lakini mambo ya ndege hakua anayazungumzia. Leo hii ndege zimekua zinaaruka huko, mbona huwa hamzichukui kama kweli zenu....Fanyeni utafiti EAA ilikua na deni kiasi ngapi cha National bank of Kenya.....
Wewe umeanzisha uzi kwa kutumia ushahidi upi...
Usiongee kama layman unajua na ww ni nyumbu vilevile. Ungekuja na kautafit ningekuelewa lakini ukija na story za abunwasi sijui nikuelewe vipi ww nyang’au. Prove me wrong
Umiliki wa hisa za East Africa Airways ulikuwa hivi; Zanzibar: 0.7%, Tanganyika: 9%, Uganda: 22.6% na Kenya: 67.7%! E.A.Airways pia ilikuwa inadaiwa na Kenya $485.4 Million.Tunaomba utujuze ww
Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari