Kumbe Kenyatta alibeba watu wa kumshangilia

Hehehe!! Jamaa amekimbilia kuanzisha uzi hadi ungedhani Waganda au Watanzania ndio walikusanywa na kuletwa Nairobi, kumbe ni Wakenya wa kutokea Kenya walikusanyika kuhudhuria uapisho wa rais wa Kenya kwa ajili ya Wakenya.
Kumbe jubilee wanatabia za kuiga mambo ya ccm...ndiyo za ccm kusombelea watu kwenye shughuli zao na kuwatelekeza shughuli ikiisha.
 
Mradi hawaonyweshwi kisu au bunduki haina shida.
Mungu sikia sala zetu....yauwe yote manachama ya ccm na mashabiki yao....lichama hili ni Mzigo kwa taifa na ustawi wetu...Ee Baba tuokoe kwenye ukoloni huu wa MTU mweusi mwenzetu...
 
Mungu sikia sala zetu....yauwe yote manachama ya ccm na mashabiki yao....lichama hili ni Mzigo kwa taifa na ustawi wetu...Ee Baba tuokoe kwenye ukoloni huu wa MTU mweusi mwenzetu...
Kifo ni adhabu?
 
Nadhani hujui siasa za kenya, Gavana wa Nairobi ni Sonko kutoka Jubilee na Seneta wa Nairobi ni Sakaja kutoka jubilee, wote hao wana wafuasi wakubwa tu. Hawawezi kukosa watu laki tano ndani ya Nairobi, wote tuliona tokea anatoka ikulu njiani alipokua akishangiliwa.
 
Endelea kuota sana.Mungu anaipenda sana hii nchi. Ninyi watu wa kaskazini mmeitafuna sana hii nchi toka uhuru wakati kanda nyingine hawajui lami inafananaje.Nashangaa Ccm ndiyo iliyowaweka vzr lkn leo mnasema eti ccm ni mchawi wa maendeleo na ni koloni mweusi..hivi unajielewa wewe ama umetumwa? Ccm chapa kazi..acha wapige kelele lkn watanzania wanaelewa ccm ndiyo iliyoiokoa nchi mikononi mwa wanafiki wachumia tumbo wa ufipa.
 
Mwambie aliyekutuma hujakuta wahusika. Sasa ikawaje hata watu wakakosa nafasi ya kuingia ukumbini saa tatu asubuhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…