christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,466
Kumbe jubilee wanatabia za kuiga mambo ya ccm...ndiyo za ccm kusombelea watu kwenye shughuli zao na kuwatelekeza shughuli ikiisha.Hehehe!! Jamaa amekimbilia kuanzisha uzi hadi ungedhani Waganda au Watanzania ndio walikusanywa na kuletwa Nairobi, kumbe ni Wakenya wa kutokea Kenya walikusanyika kuhudhuria uapisho wa rais wa Kenya kwa ajili ya Wakenya.