Kumbe kesi za serikali nje zinakuwaga hivi

Kumbe kesi za serikali nje zinakuwaga hivi



Shukrani kubwa sana sana kwa clip hii ya uwazi inaonesha jinsi watu wetu wasivyotosha katika mikataba. Na kuwa kupitia account ya ICSID ya youtube mbali ya clip hii zipo clip zingine kibao kuhusu kesi za madai ya mikataba djidi ya Tanzania na mwenendo katika kila kesi hali ilikuwaje .

Kwako Profesa Mruma,...
 
Hizi video za arbitration ukitazama hutolaumiwa ukiikatia tamaa nchi yetu. Bachelor degree ya 2016 na professional practice isiyozidi miaka 7 anamhoji aliyekuwa mkurugenzi wa sheria wa wizara, Bachelor na Masters degree holder na experience ya miaka 10 zaidi ya mwenzake, mbingu na nchi. Mkurugenzi kakaribishwa na sifa za usomi wake kama vile walijua kitakachofuata.
 
Back
Top Bottom