Kumbe kesi za serikali nje zinakuwaga hivi

Kumbe kesi za serikali nje zinakuwaga hivi

Kweli sisi ni bora tutawaliwe tuu kama Trump alivyosema mana hatuwezi kujisimamia
 
"Waiiii noooo i'm talking what i knooo...... i'm saying but we want to incourage investment."

Sasa mwanae akiona hii vipi inakuwaje?
 
Shukrani kubwa sana sana kwa clip hii ya uwazi inaonesha jinsi watu wetu wasivyotosha katika mikataba. Na kuwa kupitia account ya ICSID ya youtube mbali ya clip hii zipo clip zingine kibao kuhusu kesi za madai ya mikataba djidi ya Tanzania na mwenendo katika kila kesi hali ilikuwaje .

Kwako Profesa Mruma,...
Bado DP world 😂
 

Attachments

  • IMG_1478.MP4
    1.9 MB
  • 682760C5-412E-4437-A5B7-715DFEA3E092.jpeg
    682760C5-412E-4437-A5B7-715DFEA3E092.jpeg
    19.6 KB · Views: 6
  • IMG_1445.MP4
    9.8 MB
"Waiiii noooo i'm talking what i knooo...... i'm saying but we want to incourage investment."

Sasa mwanae akiona hii vipi inakuwaje?
Mbaya zaidi watoto wao wanawasomesha ulaya na amerika kwahiyo wanajua kilakitu
 
Back
Top Bottom