Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Yes mtzKwani huyo mheshimiwa ni nani??? ni wa tz??
Bado DP world 😂Shukrani kubwa sana sana kwa clip hii ya uwazi inaonesha jinsi watu wetu wasivyotosha katika mikataba. Na kuwa kupitia account ya ICSID ya youtube mbali ya clip hii zipo clip zingine kibao kuhusu kesi za madai ya mikataba djidi ya Tanzania na mwenendo katika kila kesi hali ilikuwaje .
Kwako Profesa Mruma,...
Hapo hata angeenda AG na ofisi yake yote wangeangukia pua tu
Mbaya zaidi watoto wao wanawasomesha ulaya na amerika kwahiyo wanajua kilakitu"Waiiii noooo i'm talking what i knooo...... i'm saying but we want to incourage investment."
Sasa mwanae akiona hii vipi inakuwaje?