usijilaumu wewe walaumu babu zako waliojificha wasikamatwe wakati wa utumwa ngekuwa unakula bata tu sasa hivi
Bob Marley kwao ni Mwika Moshi, ni mchaga pyua! kwao wanamuita "Bob Malya"
walikuwa wanasafiri wawili huyu akaambiwa kanye west,mwingine kakojoe east sasa huyu kanye west akakimbilia USA kakojoe yupo kwa mtogole
Kevin Darnell Hart-(born July 6,[4]-1979)[5]-is an-American-actor, comedian, writer, and producer. Born and raised in-Philadelphia,Pennsylvania, Hart began his career by winning several amateur comedy competitions at clubs throughout-New England, culminating in his first real break in 2000 when he was cast by-Judd Apatow-for a recurring role on the TV series-Undeclared. The series lasted only one season, but he soon landed other roles in movies like-Paper Soldiers-(2002),-Scary Movie 3-(2003),-Soul Plane-(2004), and-Little Fockers-(2010).
Kwani Lyatonga Mrema ni wa kutoka wapi?? HIMO au MWIKA au MARANGU.
Yani yule IGGY AZZALEA anazaliwa apa Kondoa tunakaangalia tu leo hii kako Merekani
Ndio hivyo, hata yule Shakira naye ni mpemba lakini hawezi kurudi kwao kwasababu kwa yale mauno anayokatika akirudi Pemba uso wake atauweka wapi!