Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whoop Goodberg asili yake ni Guinea,pia Young Jeezy ni mnyakyusa wa Ibungu - Kyela mkoani Mbeya!!!!
source: wao wenyewe
usijilaumu wewe walaumu babu zako waliojificha wasikamatwe wakati wa utumwa ngekuwa unakula bata tu sasa hiviKumbe hata mimi nikijichunguza asili yangu nilikotoka naweza kuwa na undugu na Dr Dre..kudadadeki halafu nakufa njaa bongo,coz sikutekwa hadi kuwa mTz nitaanza kulifuatilia hili.
jamani! kumbe hata ricky ross ni mnyakyusa eti.. jana kahojiwa bet kasema eti yeye anaitwa Erick Mwairossi
Anashughulika na nini sasa huko mi binafsi simjui, tudadavulie wasifu wake.
Farrokh Bulsarakuna jamaa alikuwa anaitwa fred mercury huyu alizaliwa zanzibar ila akakulia nchini england na kwa vile alikuwa shombe shombe wengi hawakujua kuwa ni mzanzibari walidhani ni mzungu alizaliwa mwaka 1946 na kufa mwaka 1991 alikuwa mwanamziki mahiri sana alikufa kwa ngoma na alikuwa bwabwa flani hivi
Kanye West ni wa wapi?
aisee kama ni hivyo nitamtafuta hata ndugu yake wa kike,naona kumpata yeye ishakuwa ngumu.Sio hivyo tu Hata Rihanna ni Mmanyema wa Pale Tabora...alikiri Juzi kati hapa wakati anahojiwa na MTV Base