Kumbe Kevin Hart wa USA kazaliwa Kigoma!

Kumbe Kevin Hart wa USA kazaliwa Kigoma!

Aisee kumbe bahati inakufuata popote hata uzaliwe pangoni,huyu angekuwa bado bongo angekuwa kama wakina wema sepetu au richa adhia njaa kali
 
Andy Cole-Andendekisye Mwakikole

Mchezaji wa zamani wa Man united
 
Kumbe hata mimi nikijichunguza asili yangu nilikotoka naweza kuwa na undugu na Dr Dre..kudadadeki halafu nakufa njaa bongo,coz sikutekwa hadi kuwa mTz nitaanza kulifuatilia hili.
 
JayZ kwao ni maeneo ya pasua huku moshi ....yeye ni mpare wa usangi sema alizaliwa mawenzi ....ana kaka yake anaishi kiboriloni wamefanana kama maandazi
 
Picha ya Beyonce alivyokuwa kwao uzaramoni...........

beyonce-africa-tanzania.jpg
 
Kumbe hata mimi nikijichunguza asili yangu nilikotoka naweza kuwa na undugu na Dr Dre..kudadadeki halafu nakufa njaa bongo,coz sikutekwa hadi kuwa mTz nitaanza kulifuatilia hili.
usijilaumu wewe walaumu babu zako waliojificha wasikamatwe wakati wa utumwa ngekuwa unakula bata tu sasa hivi
 
kuna jamaa alikuwa anaitwa fred mercury huyu alizaliwa zanzibar ila akakulia nchini england na kwa vile alikuwa shombe shombe wengi hawakujua kuwa ni mzanzibari walidhani ni mzungu alizaliwa mwaka 1946 na kufa mwaka 1991 alikuwa mwanamziki mahiri sana alikufa kwa ngoma na alikuwa bwabwa flani hivi
Farrokh Bulsara
 
Sio hivyo tu Hata Rihanna ni Mmanyema wa Pale Tabora...alikiri Juzi kati hapa wakati anahojiwa na MTV Base
 
Kuna mtu kama Snoop Dog! Huyu alishawah kufanya interview Mtv base na kukiri ni mzaliwa wa Tanzania mzaliwa wa Tabora ila amekulia jijini Dar es salaam maeneo ya kwa mfunga mbwa ipo youtube mkiitafuta!! mwaka jana mwishoni mwa mwezi wa 11 tulikwepo nae maeneo ya leaders club tunakunywa jamaa anapiga bange mbaya kesho yake jamaa katimkia Tabora juzi mwezi wa 2 ndiyo kaenda US!
 
Back
Top Bottom