Kumbe KIKUU pia ni ya Wachina?

Kumbe KIKUU pia ni ya Wachina?

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
Kutokana na punguzo la Black Friday nilikua napita online niagize saa. Nimetembelea baadhi wa tovuti maarufu hapa Africa mojawapo ni hii Kikuu.

Tokea nimejua online market mpaka jana, ungeniuliza Kikuu ni ya wapi ningejibu ni ya hapa Africa.

Leo nimesoma 'about us' ya Kikuu imenisikitisha.

team.3b836c0b.png


Wenye kikuu ndo hao hapo. Africa hatua B2C au mimi ndo sizijui?
 
Mbona ina swaga zote za kichina, au mwenzetu unaiangaliaje? Mimi ambacho nilishangaa kuwa cha Kichina nikijua ni african product ni Alibaba, hilo jina nilidhani la Mnigeria mmoja fulani hivi.
 
mbona ina swaga zote za kichina,au mwenzetu unaiangaliaje? Mimi ambacho nilishangaa kuwa cha Kichina nikijua ni african product ni Alibaba, hilo jina nilidhani la Mnigeria mmoja fulani hivi.
Alibaba, Aladin story za Alfu lela ulela ni wachina mkuu.
 
Wanakudanganyia free shipping kumbe wamejumuisha shipping fee humo humo. Hawa jamaa products zao ni za kichina zilizopitiliza.
 
Back
Top Bottom