Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 274
Igurusi ni MBEYA,kinaweza kustawi kama kuna maji ya kutosha,ni vizuri ukapata sehemu inayostawi vitunguu majiigurusi ni morogoro?
kitunguu saumu moro kitastawi?
mbegu au miche nanunua wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Igurusi ni MBEYA,kinaweza kustawi kama kuna maji ya kutosha,ni vizuri ukapata sehemu inayostawi vitunguu majiigurusi ni morogoro?
kitunguu saumu moro kitastawi?
mbegu au miche nanunua wapi?
kwa morogoro sehemu gani maeneo ya kilosa inastawi hii kitu.
miezi 4 hadi 5Kitunguu swaumu kinachukua muda gani tangu kupanda mpaka kuvuna?
Kiongozi naomba kuja kujifunza ninasoko kubwa la mazao kwa mawasiliano zaidi ntmgenesis@yahoo.com ili tupeane contacts.
Jamani watanzania ifike mahali tuache maneno mengi tufanye kazi....mimi kwasasa niko shambani niko nalima japo kwasasa nimejikita kwenye kilimo cha hoho ila mwaka huu nalima tangawizi pia....rai yangu kwa yeyote anayetaka kujifunza aje hapa IGAWA - MBEYA atajifunza mengi sana kuhusu kilimo cha umwagiliaji....hapa watu wanalima sana vitunguu(maji)...japo sijaona mkulima mzuri wa vitunguu swaumu....lakini pia hapa maji yapo mwaka mzima.
karibuni sana tulime kisasa....kilimo kinalipa sana...atakaye taka kuja igawa kujifunza nitampa ushirikiano wa hali ya juu with maximum care and security
Mkuu nitavuna hoho nyekundu na njano mwezi wa saba mwanzoni. ..Please naomba tuwasiliane
naomba nami unitumie kwa email yangu xuma144@gmail.comnilijaribu kuwatumia wenye emails hapo juu imegoma.
naomba nami unitumie kwa email yangu xuma144@gmail.com
Sio mbaya nayo, sema sasa gharama za upandaji zikoje??nilitaka uone mahitaji ya ekari na mazao unayoweza kuvuna. kuna mdau humu alisema laki 5 ni rejareja jumla ni laki 3.
Ni ngumu kusema moja kwa moja sababu taarifa zinatofautiana kulingana vyanzo vya taarifa. Vitu vikubwa ni mbegu, mbolea na madawa. kwahiyo anaepanda gunia 16 na 28 gharama ni tofauti. anayenunua mbegu jumla na rejareja ni tofauti.Sio mbaya nayo, sema sasa gharama za upandaji zikoje??