Kumbe kona ya kushoto inakula mafuta mengi zaidi!

Naren

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
692
Reaction score
428
Habari wanajamii! Pamoja na ushamba wangu leo nimekutana na hii habari kuwa kukata kona ya kulia kwa baadhi ya magari kunapunguza unyonyaji wa mafuta, nimebaki naduaa maana nimeshangaa kampuni kama UPS ipo tayari madereva wake wakunje walau kona tatu-nne ili kuikwepa kona moja tu ya kulia nimebaki nashangaa baada ya kuiona hii video, naombeni wapenzi wa magari mnipedata mbili-tatu kuhusu hili:
 
Inawafaa wenye magari mengi hiyo. Au wanataka tuwe tunapitiliza kwa michepuko kwa sababu wanakaa kushoto😵
 
Hawa UPS akili zao fupi. Sasa kukunja kona ya kushoto mara 5 ni sawa na kuzunguka kilomita 20 ili tu upinde kulia? Wamedanganywa na nani hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…