Naren
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 692
- 428
Habari wanajamii! Pamoja na ushamba wangu leo nimekutana na hii habari kuwa kukata kona ya kulia kwa baadhi ya magari kunapunguza unyonyaji wa mafuta, nimebaki naduaa maana nimeshangaa kampuni kama UPS ipo tayari madereva wake wakunje walau kona tatu-nne ili kuikwepa kona moja tu ya kulia nimebaki nashangaa baada ya kuiona hii video, naombeni wapenzi wa magari mnipedata mbili-tatu kuhusu hili: