ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Nov 5, 2024 #1 Leo ndo nimeamini elimu haina mwisho Dr Manguruwe ameshtakiwa Kwa makosa 28, Likiwepo kosa la kucheza upatu, ambapo kidogo imenishangaza, nikaona kiama kimefika Kwa vijumbe mtaani
Leo ndo nimeamini elimu haina mwisho Dr Manguruwe ameshtakiwa Kwa makosa 28, Likiwepo kosa la kucheza upatu, ambapo kidogo imenishangaza, nikaona kiama kimefika Kwa vijumbe mtaani