eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Habari za kuaminika zinadai kua kumbe refa anasema kua alimuonyesha Mkude kadi nyekundu sio kwakumsukuma bali alimtolea lugha ya matusi, ambayo ni Kadi nyekundu moja kwa moja. Je kwa kufuta hio kadi ina maana hio kamati ya masaa 72 haimwamini refa au walikua na mic ya kuweza kuthibitisha kua hakutukana au mechi ya simba na baadhi ya sheria hazitumiki?