Kumbe kumtukana refa bongo rukhsa.

Kumbe kumtukana refa bongo rukhsa.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Habari za kuaminika zinadai kua kumbe refa anasema kua alimuonyesha Mkude kadi nyekundu sio kwakumsukuma bali alimtolea lugha ya matusi, ambayo ni Kadi nyekundu moja kwa moja. Je kwa kufuta hio kadi ina maana hio kamati ya masaa 72 haimwamini refa au walikua na mic ya kuweza kuthibitisha kua hakutukana au mechi ya simba na baadhi ya sheria hazitumiki?
 
Duuh! Isije ikawa kamati nayo ina upande mmojawapo kati ya pande mbili za watani wa jadi
 
Kama ulisikiliza Efm leo walitaja majina ya wahusika wote walokua kwenye hicho kikao, kwanza robo 3 ni Simba na walobaki ni Yanga na wasio upande wowote, na kisha hakuna hata mwamuzi mstaafu wa kuweza kutoa maoni.
 
mwambieni huyu mpuuzi wenu sanya weke video ya kutukana ya super captain JONAS MKUDE!
 
Habari za kuaminika zinadai kua kumbe refa anasema kua alimuonyesha Mkude kadi nyekundu sio kwakumsukuma bali alimtolea lugha ya matusi, ambayo ni Kadi nyekundu moja kwa moja. Je kwa kufuta hio kadi ina maana hio kamati ya masaa 72 haimwamini refa au walikua na mic ya kuweza kuthibitisha kua hakutukana au mechi ya simba na baadhi ya sheria hazitumiki?
mwambie aandike ripoti yake upya halafu aandike alitukanwa
 
ripoti ya mwanzo ilionyesha alipigwa mtama baada ya kuonekana so kweli ndo amebadili kuwa alitukanwa. which is correct?
 
Saanya alitumia mihemko na hasira zake kwa kutojua kuwa atakuja akose mtu wa kumwelewa kwa upuuzi wake aliofanya wa kuinyima simba ushindi kwenye mechi ile
 
Mleta mada nini kinachokuaminisha kuwa sanya alitukanwa, na usiamini kuwa refa anaweza kutumia kipingele hicho cha kutukanwa kuionea timu, na mchezaji.
 
Hivi Simba walikata rufaa kuhusu kadi yenyewe?
Mkude ni mchezaji muhimu sana Simba. Walijua wakimkosa hizo mechi itakuwa mwanzo wa jahazi kuzama. Bila shaka rupia imetiwa kwenye kadhia!
Report ya mwamuzi itapuuzwa vipi katika hali hii?
Hakimu anamhukumu mtu bila mashitaka?
Mwaka huu watafanya chochote na lolote ili mwaka keshokutwa wapande ndege! Labda baiskeli yao si ya miti msimu huu. Kila msimu huanza na moto. Baadaye hugeuka moto wa mabua!
 
Watu mnatoka povu kweli.Hivi goli la wazi lililoonekana kwenye kideo alifuta,kakubali mpakato wa mpira.Leo anasema katukanwa nani atamwamini mwamzi muongo kama huyu.Kaamua offside(uongo), kasema hakuona mpira kushikwa(uongo).Katoa kadi nyekundu(ya uongo).Watuwalichezewa rafu hakuziona(uongo).Nani aamini eti alitukanwa?
 
Hivi Simba walikata rufaa kuhusu kadi yenyewe?
Mkude ni mchezaji muhimu sana Simba. Walijua wakimkosa hizo mechi itakuwa mwanzo wa jahazi kuzama. Bila shaka rupia imetiwa kwenye kadhia!
Report ya mwamuzi itapuuzwa vipi katika hali hii?
Hakimu anamhukumu mtu bila mashitaka?
Mwaka huu watafanya chochote na lolote ili mwaka keshokutwa wapande ndege! Labda baiskeli yao si ya miti msimu huu. Kila msimu huanza na moto. Baadaye hugeuka moto wa mabua!
hata hueleweki mara ndege Mara baiskeli ya mabua...
 
Habari za kuaminika zinadai kua kumbe refa anasema kua alimuonyesha Mkude kadi nyekundu sio kwakumsukuma bali alimtolea lugha ya matusi, ambayo ni Kadi nyekundu moja kwa moja. Je kwa kufuta hio kadi ina maana hio kamati ya masaa 72 haimwamini refa au walikua na mic ya kuweza kuthibitisha kua hakutukana au mechi ya simba na baadhi ya sheria hazitumiki?
Wewe umezipata wapi hizi habari
Marefa hawaruhusiwi kuongea kilichotokea ndani ya uwanja
 
Back
Top Bottom