eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Duuh! Isije ikawa kamati nayo ina upande mmojawapo kati ya pande mbili za watani wa jadiHabari za kuaminika zinadai kua kumbe refa anasema kua alimuonyesha Mkude kadi nyekundu sio kwakumsukuma bali alimtolea lugha ya matusi, ambayo ni Kadi nyekundu moja kwa moja. Je kwa kufuta hio kadi ina maana hio kamati ya masaa 72 haimwamini refa au walikua na mic ya kuweza kuthibitisha kua hakutukana au mechi ya simba na baadhi ya sheria hazitumiki?
mwambie aandike ripoti yake upya halafu aandike alitukanwaHabari za kuaminika zinadai kua kumbe refa anasema kua alimuonyesha Mkude kadi nyekundu sio kwakumsukuma bali alimtolea lugha ya matusi, ambayo ni Kadi nyekundu moja kwa moja. Je kwa kufuta hio kadi ina maana hio kamati ya masaa 72 haimwamini refa au walikua na mic ya kuweza kuthibitisha kua hakutukana au mechi ya simba na baadhi ya sheria hazitumiki?
hata hueleweki mara ndege Mara baiskeli ya mabua...Hivi Simba walikata rufaa kuhusu kadi yenyewe?
Mkude ni mchezaji muhimu sana Simba. Walijua wakimkosa hizo mechi itakuwa mwanzo wa jahazi kuzama. Bila shaka rupia imetiwa kwenye kadhia!
Report ya mwamuzi itapuuzwa vipi katika hali hii?
Hakimu anamhukumu mtu bila mashitaka?
Mwaka huu watafanya chochote na lolote ili mwaka keshokutwa wapande ndege! Labda baiskeli yao si ya miti msimu huu. Kila msimu huanza na moto. Baadaye hugeuka moto wa mabua!
Wewe umezipata wapi hizi habariHabari za kuaminika zinadai kua kumbe refa anasema kua alimuonyesha Mkude kadi nyekundu sio kwakumsukuma bali alimtolea lugha ya matusi, ambayo ni Kadi nyekundu moja kwa moja. Je kwa kufuta hio kadi ina maana hio kamati ya masaa 72 haimwamini refa au walikua na mic ya kuweza kuthibitisha kua hakutukana au mechi ya simba na baadhi ya sheria hazitumiki?