Mfano zinazotengeneza Bia, kuna vikamouni vingine vidogo vidogo vya export vinapiga hadi 6MZitaje au unaogopa?
CCM wanapiga ngapi?Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Endeleeni kuvaa suruali zilizopaukaKwa hiyo sisi wa halmashauri unatushauri nini?
Tunafanya tarehe 30 ππππUE imeanza au bado maana last year huwa mna taabu Sanaa
Wewe ndo mana huwa wanakutafutaEndeleeni kuvaa suruali zilizopauka
Okay malizeni mje mjue ukweli kwanini life in village is better than in townTunafanya tarehe 30 ππππ
Mjini pazito mkuu napa heshimu..Okay malizeni mje mjue ukweli kwanini life in village is better than in town
Pesa ipo kijijini, mzunguko upo mjini chukua hii weka kwenye file utaitumia badae kwenye AI itakupa majibuMjini pazito mkuu napa heshimu..
Kijijini pesa hakuna
We upo wapi mkuu tuanzie hapo..Pesa ipo kijijini, mzunguko upo mjini chukua hii weka kwenye file utaitumia badae kwenye AI itakupa majibu