Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Kwa mfumuko wa bei hizo figure sio peponi tena. Zilikuwa peponi miaka ile ya 2005-2015.
 
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Sasa hapo pepo iko wapi? Mimi nilifikiri watu wanalipwa kuanzia milioni kumi kwenda juu. Sasa watu wanakula eti chini ya milioni tano ndio wanaishi kama peponi? Ccm ilisha watowa watu akili na kibaya zaidi hawajui kuwa walisha tolewa akili. Yaani mtu mwenye degree analipwa 2 milioni anafurahi.
 
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Kumbe na mimi naishi kama peponi bila kujijua
 
We upo wapi mkuu tuanzie hapo..
Mi natakaga mambo yasiwe mengi sipendi mtu ambaye anaongea bila kua na prove...

Nambie nina milioni moja hapa niende nayo.kijiji gani hipa tz na nipe mchanganuo wote

Nipo tayari kwenda hata
Ngoja nikupe code asilimia 90 ya watu unawaona wanasumbua mjini wamewekeza vijijini uko so wanacheza na misimu tu ukifika mda wa shamba uwaoni mjini wanaenda shamba wana vimba wakimaliza wanarudi mjini ukifika mda wa mavuno wanapotea tena wanaenda wanavuna wanaweka store wanaanza kula mdogo mdogo hapo mjini wana vimba balaa wanabadili magari wananunua majumba nk

So kama wewe nyumbani ni kijijini na upo mjini angalia jambo la kufanya uko kijijini ili usitoke mjini sijui umenielewa wekeza kijijini ili uje usumbue mjini kama kuna ufugaji anza kufuga tumia nguvu kazi ya kule ni very cheap wewe ni sm na kutembelea uko mara kwa mara usilime kwa kupiga sm au kufuga kwa kupiga sm tembelea site japo kwa mwaka mara nne siyo mbaya

Hivi ustuki msimu huu unamuona jamaa kanunua gari kali anapendeza anakula bata au anajenga ukifika msimu wa kilimo mwamba anauza gari anapauka ila mpo naye kijiweni anapotea siku tatu mnamuona ila anakula vizuri tu anavaa vizuri tu mnakaa wiki mbili anapotea tena hivyo hivyo mnaanza kusema uyu jamaa atakuwa usalama wa taifa haaa haaa
 
Back
Top Bottom