Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Mkuu hivi na DP world ni private eh... kuna jamaa yangu kaingia pale kitengoo fulani kwa mwezi anavuta kama 8 mls ukijumulisha na overtime hapo.
 
HAJUI UYO AWAULIZE BANK TELLERS WAMWAMBIE WANAVYOSOTEA MISHAHARA YAO
Hao ni mafia sana ,wamenifanyia uhuni mara nyingi sana . siku moja nilitoa Milion 10 , nikakuta kama elfu 50 haipo ...Wanakata kweny vibunda.

Siku nyingine ni mil 5 , 20k wanetembea nao ...Ikaendelea hiyo tabia ,bahati nzuri ni yule yule nikamchana akapanic .
 
Wanakupima uelewa wako wa fedha,ukitaka kujua mtu anaijua fedha ukimpa lazima azihesabu kwanza,benki teller uwa ni miyeyusho sana na wanatumikishwa sana bila kupumzika msiwalaumu mkikuta madirisha temorarily closed
 
Hwa ni wezi sana , kile kimashine wanahesabu , nyingine zinatoka ..Wajanja kama wale wanaochezesha karata tatu ..Niliwachana mpaka wakawa na heshima .
 
Sio tu wenye degree.

Private sector hata kama uliingia una certificate

The way unavyozidi kufanya kazi kwa weledi na ukaaminika, ndivyo madaraja na mshahara vinapanda.
Hata bila cheti mfano mdogo tu hapa mkuyuni mwanza kwenye ma ellution Kuna Wamba tuna komaa nao hakuna shule yoyote zaidi walikuwa masera wa kitaa tu mshahara laki Saba sasa ivi Wana miaka mitatu kama sio minne Wana mijengo ya maana magari asee😎
 
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Kuna watu wanakula 10M
 
Back
Top Bottom