HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,887
Endeleeni kuiba kwenye hela za miradi na kujiandikia posho za vikao vya kujadili ilani ya chama, pia si kuna posho za kusema miatano tena??Kwa hiyo sisi wa halmashauri unatushauri nini?
Endeleeni kuiba kwenye hela za miradi na kujiandikia posho za vikao vya kujadili ilani ya chama, pia si kuna posho za kusema miatano tena??Kwa hiyo sisi wa halmashauri unatushauri nini?
Alafu kweli..Unajua hakuna sehemu ya uhakika yakuwekeza hela kama kwenye ardhi, sasa kama utafanikiwa kuiwekeza hiyo 500k kwenye ardhi leo, baada ya muda haitakuwa tena 500k.
Alafu pia leo wanauza SQM Tsh. 800 ila nauhakika baada ya miaka miwili haitakuwa tena bei hiyo. Pia ni muhimu kuwa na ardhi kuanzia sasa Mkuu, mtu ukija kufika 40yrs utaona kabisa haukuzingua udogoni
Ubaya wa kuwa na iyo 500k ndani ni unaweza ukaitumia kwenye matumizi ambayo hata usipoyafanya hautakufa 😂 sasa ni bora ukaiwekeza kwenye kiwanja.
Ila ni vile utavyoona Mkuu, ila mimi ukiniuliza ntakushauti hivyo.
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara
Kuna sales kwenye kampuni ya heavy equipment machines wanafunga mpaka 5m bado na gari wanampaWakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Mimi nilikataa mshahara wa 4m taifa gas nimeajiriwa gvt kwa basic ya 2.3 lakini niaweza make than 4m per moth
Unamjua?Mkuu ninakukumbuka vzr kabla ya kupata kazi ulivyolala stendi pale Dodoma, unazungumzia 2.3 ipi? Au unachangamsha wadau.....
Noma sana,Alafu kweli..
Maana hata babu zetu wengine ambao hawana viwanja tunaona kama wamezingua kinoma aiseee..
Na zamani maeneo yalikua ya kujilimbwasa tuu .
Yaani yule babu alishindwa kujichukulia chanika na gongo la mboto yote hii..
Akaenda chukua viwanja vya slope mianzini mbagala huko
Wenyewe walikua wanajua kucheza ile nyimbo ya """chee chee chee chee.. unapenda dezo dezo...chee chee chee"""Noma sana,
Ongeza na balozi, canada,umoja wa ulaya,Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Hahaha, nimecheka kifala sana MkuuWenyewe walikua wanajua kucheza ile nyimbo ya """chee chee chee chee.. unapenda dezo dezo...chee chee chee"""
Hakuna hod analipwa 2m ni more than hiyoSasa private ikiwa ina tendency ya kunotice input na output yako na kukureward kwa promotion ndiyo kazi inazidi kua vizuri. Pia kwa ninazozijua ulizoweka hapo hiyo siyo package nzima, unakuta salary laki 5 ila wanakwambia laki 7 ni allowances so jumla ni 1.2M mfano Nyanza bottlers.
Achana na kampuni za kiboya, tangu unaingia hadi mwaka wa 9 unafika bado unalipwa laki nane na title ileile.
Huo mshahara wa 2M kwa LGAs kama siyo HOD inabidi uwe umepiga kazi almost 18 years na una masters pembeni.
Nakuunga mkono,Kuna jamaa Yuko private sector salary 4m lakini take home 1.9m
Of course Kwa ports kuna allowances nyingi tuHapo utakuta anazidiwa na mtu aliepo bandari mwenye 1.5M per months, Na overtime na deals za hapa na pale
Kaka LGAs?Hakuna hod analipwa 2m ni more than hiyo
Ndio LGA HOD Wanalipwa More than 2.5+-3m+Kaka LGAs?
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Babu zetu jau sana mkuuHahaha, nimecheka kifala sana Mkuu