Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Alafu kweli..
Maana hata babu zetu wengine ambao hawana viwanja tunaona kama wamezingua kinoma aiseee..

Na zamani maeneo yalikua ya kujilimbwasa tuu .

Yaani yule babu alishindwa kujichukulia chanika na gongo la mboto yote hii..

Akaenda chukua viwanja vya slope mianzini mbagala huko
 

Kuna sales kwenye kampuni ya heavy equipment machines wanafunga mpaka 5m bado na gari wanampa
 
Sasa private ikiwa ina tendency ya kunotice input na output yako na kukureward kwa promotion ndiyo kazi inazidi kua vizuri. Pia kwa ninazozijua ulizoweka hapo hiyo siyo package nzima, unakuta salary laki 5 ila wanakwambia laki 7 ni allowances so jumla ni 1.2M mfano Nyanza bottlers.

Achana na kampuni za kiboya, tangu unaingia hadi mwaka wa 9 unafika bado unalipwa laki nane na title ileile.

Huo mshahara wa 2M kwa LGAs kama siyo HOD inabidi uwe umepiga kazi almost 18 years na una masters pembeni.
 
Ongeza na balozi, canada,umoja wa ulaya,
Voda na tigo ni zaidi ya hivyo viwsngo ulivyoweka, pengine ni huawei, Helios tower, tower of Africa, 7M, kitu cha kawaida
 
Hakuna hod analipwa 2m ni more than hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…