kabisaaaaaaKwa hiyo hauna ulijualo kwenye hili?
Dah...wazee wa PMs hao...dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumezoea wanawake ukitaka kuwapata unawaonyesha ulichonacho. Nitatoa mfano.
PM.
Ukishaingia utaanza kutafuta namna ya kusuka meseji ajue unakula Nando's na unamiliki usafiri na hauishi Mbagala.
Kumbe wengine tunawaboo bhana. Hawataki mikato ya hivyo. Wanachojali zaidi ni tabia ya mtu ya ndani. Kilichofanya niandike nikuwauliza hawa wanaopenda je mnapenda kusukiwa meseji za hivyo kutoka moyoni au imewabidi mpende?
Na sisi wanaume tumeamua kubadilika na soko kweli? Labda ndiyo maana hawa kina dada wanalalamika hawapati wanaume[hao kina dada niliowataja juu].
Dah..nasikia aina mpya chakula...isiyopimwa kwa PH- scale...inapimwa kwa Peri-ometer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuanzie kwenye nandoz...maanake Nini?nandoz ndo nasikia leo
Dah...nipo JF toka 1984...nimetuma PMs zaidi ya 3000...sijajibiwa hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah...nipo JF toka 1984...nimetuma PMs zaidi ya 3000...sijajibiwa hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160