Kumbe kuna kina dada wa tofauti.

Kuna wadada wanajielewa weweeee.
My kind of women.
Bravo to all such women. Wanaojielewa.
Zile type za can I buy you a drink? Anakujibu, I got this. Let me buy you one.
Sio wale wa kuhangaika na hela za wanaume na kuishia kutumika vibaya.
But,when it comes to your conscience, do you really feel like doing that down-under?Bravo!
 
Hahaha Mzee Baba your usual magic haijafanya kazi nini... jiongeze Mkuu
 
Hivi huko PM huwa mnafanikiwa kung’oa pisi za maana au ndio miyeyusho? Tupeni mirejesho Na sisi tujimwaye mwaye, msiogope compe.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Pisi ukiwa unamaanisha nini mkuu?
 
Kweli kufeli kwa hadhira ni uzembe wa fanani.


Naona hadhira hainielewi kabisa. Kanielewa mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…